'Mimi sifurahii kuona kukiwa na mgawanyiko mkubwa Chadema'

  • | BBC Swahili
    20,337 views
    Mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Halima Mdee ameonesha kusikitishwa na hali ya mgawanyiko inayokikumba chama hicho na kwamba haifurahii hali hiyo inayotishia uhai wa chama hicho. Halima ametoa maelezo hayo wakati wa mahojiano maalum na mwandishi mwandamizi wa BBC, Florian Kaijage. Kwanza anazungumzia kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.... #bbcswahili #tanzania #uchaguzitz2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw