Mipango ya kuwashirikisha wakimbizi na jamii yaendelea

  • | KBC Video
    101 views

    Kenya imepiga hatua kubwa katika mipango ya kuwajumuisha wakimbizi katika jamii huku serikali za kaunti zikiweka mikakati ya kuwatambua na kuanzisha mipango ya kuwawezesha kiuchumi. Kaunti ya Nairobi imeshirikiana na taasisi mbalimbali kuwasaidia wakimbizi kupata stakabadhi za utambulisho na mbinu za kujikimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive