Miradi ya afya na mazingira ya wafugaji yanishwa

  • | Citizen TV
    421 views

    Katibu katika wizara ya tamaduni na turathi umi Bashir amewaanadalia futari viongizi wa kinamama kutoka eneo la kaskazini mashariki.....hafla hiyo imehudhuriwa na Bi Tessie mudavadi na viongozi wengine kutaka serekali ya kitaifa na na ile ya kaunti

    Viongozi hawa kina mama wamesisitiza umuhimu wa kuwa na umoja pamoja na kupigania haki zao za kisiasa na kuwania viti tofauti tofauti

    Hata hivyo waliahidi kiendeleza mjadala huu hadi pale watakapofaulu

    Katika eneo la Kaskaskia mashariki mila na tamaduni ndiye changamoto kuu kwa wamama kuchaguliwa katika viti vya kisiasa