Skip to main content
Skip to main content

Miradi ya kuzuia uharibifu wa mazingira yaanzishwa Lamu

  • | Citizen TV
    290 views
    Duration: 3:08
    Mabadiliko Ya tabianchi yameathiri pakubwa mazingira katika kaunti ya Lamu jambo lilosababisha mafuriko Na kiangazi kikali huku Samaki baharini Na katika maziwa wakipungua. kadhalika, ukulima katika sehemu za chemichemi za Maji Na ukataji Wa mikoko baharini umekuwa chanzo kukuu cha uharibifu wa mazingira. Abdulrahman Hassan Na maelezo Zaidi.