Skip to main content
Skip to main content

Misa ya wafu ya aliyekuwa waziri Dalmas Otieno yaandaliwa

  • | KBC Video
    1,474 views
    Duration: 4:08
    Ilikuwa siku ya maombi, nyimbo na kumbukumbu katika kanisa Katoliki la Don Bosco, katika eneo la Upper Hill, jijini Nairobi, wakati familia, marafiki na viongozi walikusanyika kwa ibada ya wafu ya aliyekuwa waziri , Dalmas Otieno Anyango. Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 80, ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Rongo kwa muda mrefu, alikumbukwa kwa unyenyekevu wake na utumishi kwa jamii. Aliombolezwa kuwa baba, mlezi na kiongozi wa kitaifa ambaye maisha yake yaliwagusa wengi zaidi ya ulingo wa siasa. Ben Chumba anatuletea taarifa hiyo kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive