Misa ya wafu ya kumuenzi mwendazake profesa George Magoha yafanyika jijin Nairobi

  • | K24 Video
    80 views

    MWendazake profesa George Magoha amefanyiwa ibada ya mwisho ya wafu jijini nairobi kabla ya mwili wake kusafirishwa kwake nyumbani hapo kesho kwa ibada nyingine na hatimaye kuzikwa jumamosi. Familia na marafiki, waliokuwa mawaziri na mawaziri wa sasa wakiwemo waziri wa elimu Ezekiel Machogu, eliud owalo wa teknolojia ya habari na mawasiliano na Njuguna Ndung'u wa fedha wamemkumbuka magoha kama aliyejitolea kuhudumia taifa. Rais William Ruto kupitia ujumbe uliosomwa na owalo amesema Magoha alikuwa mtu mnyenyekevu licha ya kuafikia malengo makubwa.