"Kuna madai kwamba kuna kikao walikaa Mbowe, Boniface, Joseph Sugu na Godbless na Kikwete, nataka niwahakikishie hakujawahi kuwa na kikao cha namna hiyo"
Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA Tanzania @jjmnyika amewahakikishia wafuasi wa chama hiko kuwa hakujawahi kuwa na kikao cha pamoja cha kuwashawishi ili kubadili msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano
Hayo aliyasema wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, yaliyofanyika Septemba 15, 2026, Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam.
#bbcswahili #chadema #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw