Miundombinu imara ya usafirishaji Tanzania ni kichocheo cha uchumi

  • | VOA Swahili
    117 views
    Miundombinu imara ikiwemo ya usafirishaji inatajwa kuwa moja ya vichocheo vya ukuaji wa shughuli za kiuchumi barani Afrika, inaelezwa kuwa ili fursa kupitia majukwaa kama itifaki ya eneo huru la biashara barani Afrika na ushirikiano wa kikanda kama SADC na Jumuiya ya Afrika Mashariki ziweze kufikiwa kwa wepesi kuimarisha miundombinu ya usafiri ni muhimu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.