- 18 viewsDuration: 2:34Waziri wa usalama wa Taifa Kipchumba Murkomen ameitaka huduma ya kitaifa ya polisi na taasisi nyingine za usalama humu nchini kujiunga na mfumo wa utoaji zabuni za serikali kudijitali ili kukomesha ufisadi katika utaratibu wa ununuzi. Akizungumza katika kaunti ya Nyamira wakati wa kikao cha Jukwaa La Usalama, Murkomen pia alihusisha visa vingi vya mauaji katika eneo hilo na mizozo ya ardhi. Mengi zaidi na mwanahabari wetu Giverson Maina . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive