Skip to main content
Skip to main content

Mjane aomba msaada wa matibabu Eldoret baada ya kupoteza mguu kwenye ajali

  • | KBC Video
    187 views
    Duration: 3:42
    WITO WA MSAADA WA MATIBABU Msaada unaweza kutumwa kwa 0729465269 Karen Aoko Mjane mmoja katika eneo la Eldoret, anaomba msaada wa kimatibabu baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani iliyomsababishia kupoteza mguu mmoja. Mjane huyo ambaye alikuwa fundi wa cherehani sasa hawezi kumudu mahitaji ya wanawe watatu. Na kutonesha kidonda zaidi, watoto wake wawili wanaugua ugonjwa wa seli mundu, ugonjwa unaohitaji matibabu ya mara kwa mara, ambayo ameshindwa kumudu. Sasa anawaomba wahisani kumsaidia kumudu matibabu ya wanawe na pia kumsaidia kibiashara ili aweze kutimiza mahitaji ya familia yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive