Mji wa Siaya wakosa kituo maalum cha matatu

  • | Citizen TV
    276 views

    Mji wa Siaya ambao ni makao makuu ya Kaunti ya Siaya haina kituo maalum cha matatu na hivyo kuwalazimu wahudumu kuegesha magari yao kando ya kando ya barabara kuwabeba na kuwashukisha abiria. Hata hivyo serikali ya kaunti inapiga hatua katika kunadhifisha na kuipa sura mpya mji wa Siaya.