Skip to main content
Skip to main content

Mjumbe maalum wa Trump akutana na Putin katika juhudi za kumaliza vita na Ukraine. Dira TV

  • | BBC Swahili
    20,423 views
    Duration: 28:10
    Mjumbe maalum wa Rais Trump - Steve Witkoff yupo mjini Moscow akiandamana na mkwe wa Rais Trump - Jared Kushner. Mkutano huo unafanyika baada ya Serikali ya Urusi kutangaza kwamba vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimeuteka mji wa Pokrovski wenye umuhimu mkubwa katika sekta ya uchukuzi na ambao umekuwa katikati ya mapigano makali kwa miezi minne sasa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw