Mke wa rais Racheal Ruto apeleka chakula Laikipia

  • | Citizen TV
    599 views

    Watu zaidi ya elfu moja kutoka kijiji cha Segera kaunti ya Laikipia wamenufaika na chakula cha msaada kutoka katika afisi ya mke wa rais Rachael Ruto kwa ushirikiano na Shirika Humanity First. Kaunti ya Laikipia ni moja kati ya kaunti ambazo zimeathirika kutokana na ukame unaoshuhudiwa nchini