Skip to main content
Skip to main content

Mkewe rais azungumzia juhudi za kuwainua wanawake

  • | Citizen TV
    1,270 views
    Duration: 6:13
    Mkewe Rais Rachel Ruto kwa miaka amekuwa mstari wa mbele kuwawezesha kina mama kupitia mfumo wa kuwekeza bila kuweka pesa benki maarufu kama Table Banking. Ni mradi ulioshika kasi kutoka vijijini na mijini hapa nchini. Kwenye mahojiano yetu ya mkewe Rais Rachel Ruto, Nilianza kwa kumuuliza kuhusu alikopata wazo la mradi huu