Mkorogo wa S.H.I.F

  • | NTV Video
    57 views

    Mahakama Kuu imesitisha uamuzi wake uliobatilisha sheria mpya ya bima ya afya - S.H.I.F kwa muda wa siku 45 ili kuipa serikali muda wa kukata rufaa.Haya yanajiri saa chache baada ya mahakama kutangaza kwamba sheria hiyo ni haramu na kinyume na katiba.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya