Mkurugenzi mkuu wa ADC ahojiwa baada ya unyakuzi wa ardhi Molo na Ndabibi

  • | KBC Video
    16 views

    Mkurugenzi mkuu wa shirika la ustawi wa kilimo, ADC, Wilson Tonui ameshtumiwa baada ya kukosa kuipa kamati moja ya bunge ushahidi muhimu kuhusiana na hasara iliyopatikana katika shirika hilo la kiserikali. Kamati ya uwekezaji wa umma kuhusu huduma za kijamii, usimamizi na kilimo ilimtaja Tonui kuwa shahidi hasimu baada ya kudai kwamba kamati hiyo haikufaa kumhoji kuhusiana na maswala ya kipindi cha mwaka 2009/2010 kwani hakuwa kwenye wadhifa huo wakati huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive