Taharuki imetanda katika eneo la Saimo-Soi, kaunti ya Baringo, baada ya wakazi wa Kipcherere huko Baringo Kaskazini kukataa mpango wa uhifadhi unaopendekezwa, wakitaka kulindwa kwa haki zao za umiliki wa ardhi. Kwingineko, seneta wa Embu Alexander Mundigi ametoa wito kwa serikali ya kaunti ya Embu kuharakisha kutatua masuala yanayokabili hospitali ya Ishiara Level Four iliyoko eneo bunge la Mbeere Kaskazini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News