Mkutano wa baraza la mawaziri | Mawaziri wajadili sera mbalimbali za serikali

  • | KBC Video
    69 views

    Rais William Ruto leo aliongoza mkutano wa baraza la mawaziri katika ikulu ya Nairobi.Mkutano huo ulioanza saa tano aubuhi ulihudhuriwa na mawaziri wote wapya.Huu ndio mkutano wa kwanza wa baraza la mawaziri kuongozwa na kiongozi wa taifa chini ya serikali yake mpya.Mawaziri hao 22 walioapishwa tarehe 27 mwezi oktoba walijadilia masuala kadhaa kuhusu sera za serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #barazalamawaziri #News #williamruto