- 3,035 viewsMkutano kati ya China na viongozi kutoka Afrika unaendelea Beijing, China, huku kukiwepo makubaliano kati ya Tanzania, Zambia na China kuhusu kukarabati reli ya TAZARA. Chanjo dhidi ya MPOX kuwasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mkutano wa Beijing: Makubaliano ya kukarabati reli ya TAZARA yakamilika
- - Duniani Leo ››
- 10 Sep 2024 - Initial probe suggests inmates managed to escape due to a breach in the prison's security system.
- 10 Sep 2024 - Former KDF soldier pleads for President Ruto's intervention over his ‘unwarranted dismissal’.
- 10 Sep 2024 - Senior police officer reportedly called the judge’s driver and bodyguard seeking to known his whereabouts.
- 10 Sep 2024 - Hillside tragedy revives debate on whether learners should board
- 10 Sep 2024 - Ichung'wah, Meru MPs dismiss Gachagua's Mt Kenya unity call
- 10 Sep 2024 - Masengeli unfit to hold public office, lawyers say of defiant IG
- 10 Sep 2024 - Government: All 164 boys in Endarasha Academy fire accounted for
- 10 Sep 2024 - The circumstances and manner of these employees' deaths remain questionable.
- 10 Sep 2024 - Gachagua's camp sees the entry of Raila's allies into the cabinet as a move to edge out the DP.
- 10 Sep 2024 - UN Women Kenya leader leaves behind a legacy of increased female representation