Skip to main content
Skip to main content

Mkutano wa faragha wa viongozi wakuu wa ODM unaendelea

  • | Citizen TV
    160 views
    Kiongozi wa chama cha ODM Oburu Oginga anasema wakati umetimia kwa chama hicho kuungana na kuwa na msimamo mmoja wa kushiriki katika uchaguzi wa mwaka 2027. Oburu ambaye hakuhudhuria kongamano la chama hicho huko Mombasa, alituma ujumbe wake uliosomwa na Naibu wake Simba Arati, akisisitiza kwamba chama cha chungwa kiko Imara na kitatoa msimamo wake haswa kuhusu mazungumzo ya kuunda muungano wa kuunda serikali serikali ijayo.