18 Dec 2025 1:30 pm | Citizen TV 432 views Duration: 1:50 Chama cha mawakili na wafanyakazi wa mahakama wamejadili mikakati ya kufurusha mawakili feki miongoni mwao ili kupiga jeki muungano huo hususan wakati ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu.