29 Sep 2025 7:48 pm | Citizen TV 261 views Duration: 1:13 Wakulima wa Kahawa kutoka chama cha ushirika cha Nyakoe kaunti ya Kisii walivuruga mkutano wao wa kila mwaka kufuatia madai kuwa wanakamati walihusika na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni mbili