Mkuu wa utumishi wa umma, Felix Koskei amewataka wanasayansi wabadilishane matokeo ya utafiti

  • | KBC Video
    47 views

    Mkuu wa utumishi wa umma, Felix Koskei amewataka wana-sayansi wabadilishane matokeo yao ya utafiti na waratibu sera kuhakikisha matokeo hayo yanatumiwa kama msingi wa kutafuta suluhisho kwa matatizo yanayosibu taifa hili. Koskei amesema ikiwa watafiti wataendelea kufanya kazi kivyao basi utafiti wao hautawafikia waratibu sera ambao wanatarajia kutumia utafiti huo kutatua changamoto kadhaa kama vile mabadiliko ya tabianchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive