Mlipuko wasababisha vifo vya watu wawili Ibadan, Nigeria

  • | BBC Swahili
    933 views
    Mlipuko katika mji wa Ibadan , Nigeria ulisababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 77, huku majengo yakiharibiwa na kuwa kifusi. - Mamlaka ilisema ulisababishwa na vilipuzi vilivyohifadhiwa na wachimba migodi haramu. #bbcswahili #nigeria #mlipuko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw