Mmea wa Muguka unazidi kuibia maswali chungu mzima kuhusu uharamu na uhalali wake

  • | NTV Video
    858 views

    Mmea wa muguka unazidi kuibua maswali chungu nzima na mdahalo mzito kuhusu uharamu na uhalali wake. wakati Magavana wa Pwani wakizidi kudinda kukutana na waziri wa Kilimo Mithika Linturi ili kurraiwa kuodoa marufuku yao, je, wafanyabiashara wenyewe wanasemaje?

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya