Skip to main content
Skip to main content

mmoja wa wanafunzi 16 waliofariki kwenye mkasa wa moto shule ya Utumishi AZIKWA baringo

  • | KBC Video
    643 views
    Duration: 2:08
    Biwi la simanzi liligubika kijiji cha Barwesa katika eneo la Baringo Kaskazini huku jamaa, marafiki na wakazi wakijumuika kumuaga Imany Boit, mmoja wa wanafunzi 16 waliofariki kwenye mkasa wa moto katika shule ya Utumishi Academy. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive