Morocco: Wafanyakazi wa uokoaji wakisaidiana na timu za waokoaji kutoka nje kuwatafuta manusura

  • | VOA Swahili
    1,549 views
    Wafanyakazi wa uokoaji wa Morocco wakisaidiana na timu za uokoaji kutoka nje ya nchi wanakabiliwa na muda mchache wa kuweza kuwatafuta manusura wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Ijumaa usiku kwenye milima ya Atlas. Kwa siku ya tatu leo Jumatatu wamekua wakilala nje wakihofia kutokea matetemeko zaidi huku idadi ya waliofariki imeongezeka na kufikia 2,500 na waliojeruhiwa ni 2 500. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo... #morocco #earthquake - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.