Skip to main content
Skip to main content

Moto wateketeza shule Bukavu

  • | BBC Swahili
    3,736 views
    Duration: 1:06
    Takribani wanafunzi 24 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kuteketeza shule mbili za msingi mjini Bukavu, mashariki mwa DRC. Muungano wa AFC-M23 unasema kuwa moto huo ulianzia eneo la Tshimpunda, Wilaya ya Kadutu, kabla ya kusambaa kwenye nyumba na shule. Watu wengi waliopoteza nyumba zao wamepata hifadhi katika shule za jirani, wakiwa na uhitaji mkubwa wa msaada. #bbcswahili #DRC #bukavu #ajaliyamoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw