Skip to main content
Skip to main content

Moto watekeza kanisa la United Pentecostal Church, Kakamega

  • | KBC Video
    423 views
    Duration: 3:04
    Mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa baada ya zaidi ya nyumba 20 kuteketea katika kijiji cha Kianjogu, wadi ya Ndenderu katika kaunti ya Kiambu. Zaidi ya familia 30 zimeachwa bila makazi na sasa zimepata hifadhi katika makanisa yaliyo karibu.Kwingineko, waumini wa Kanisa la United Pentecostal lililoko eneo la Khayega, kaunti ya Kakamega, wanakadiria hasara baada ya kanisa hilo kuteketezwa katika tukio linaloshukiwa kuwa ni uchomaji wa makusudi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive