- 6,220 viewsDuration: 3:57Wafanyabiashara katika jengo la Ramogi kwenye barabara ya Luthuli, jijini Nairobi, wamepata hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuzuka jana jioni na kuteketeza mali yao. Moto huo umeendelea kuwaka kwa zaidi ya saa 16 na umeathiri biashara nyingi ndani ya jengo hilo. Kamanda wa Polisi wa eneo la Nairobi ya Kati, Philemon Nyakombo, amesema kuwa kuchelewa kudhibiti moto kulitokana na ugumu wa kufika kwenye orofa zilizokuwa zinaungua. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive