- 15,472 viewsDuration: 3:11Ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Karai, Naivasha, na kusababisha vifo vya watu 8 akiwemo mhubiri wa Kikatoliki pamoja na familia yake, imewaacha jamaa na familia huko Gatundu katika maombolezi. Familia ya James Njoroge Kabari, ikianza mwaka mpya na majonzi makubwa kufuatia mkasa huo. Kabari alipoteza maisha yake pamoja na mkewe, Teresiah Wanjiru, na wana wao wawili katika ajali hii Januari tarehe 5