- 22,431 viewsDuration: 28:11Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ameonya kwamba nchi yake iko katika hatari ya kupoteza kuungwa mkono na Marekani kufuatia mpango wa rais Donald Trump wa kumaliza vita na Urusi. Katika hotuba kwa taifa lake, Zelensky amesema atatoa njia mbadala kwa mpango mpya wa Marekani, na kwamba atatetea uhuru wa Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw