- 2,060 viewsDuration: 3:28Mpango wa ambulansi za bodaboda uliozinduliwa katika Kaunti ya Laikipia umeibua mjadala mkali miongoni mwa wakazi, huku wengi wakitilia shaka usalama wake kwa kina mama wajawazito wanaopatikana na dharura. Ingawa maafisa wa kaunti wanasema ambulansi hizo zinalenga kuboresha huduma za afya katika maeneo yaliyo mbali na yenye barabara mbovu, baadhi ya wananchi wamekosoa mpango huo