Mpango wa lishe kwa wanafunzi wa shule za chekechea katika Kaunti ya Samburu umekabili utapiamlo

  • | KBC Video
    8 views

    Gavana wa kaunti ya Samburu, Lati Lelelit amedokeza kuwa mpango wa lishe kwa wanafunzi wa shule za chekechea katika kaunti hiyo sasa umesaidia kukabili tatizo la utapiamlo na baa la njaa, hali ambayo imechangia ongezeko la wanafunzi katika shule.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive