Mpango wa matibabu ya bei nafuu wadaiwa kufeli Makueni

  • | Citizen TV
    74 views

    Wakazi wa kaunti ya makueni wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za kupata huduma za afya kw abei nafuu kupitia mfumo w amakueni care ulioanzishwa ili kuwapunguzia mzigo wagonjwa. japo hilo lilizua mjadala katika bunge la kaunti ya Makueni ambapo spika Douglas Mbilu aliipa serikali ya kaunti hiyo makataa ya siku saba kuwasilisha ripoti kuhusu mfumo huo na changamoto zinazowasababishia wakazi madhila wanapotafuta huduma za afya.