Mpira wa kikapu umeniponya

  • | BBC Swahili
    2,878 views
    Bi Trifine Mukangamije mwenye umri wa miaka 70, anasema michache baada ya kuanza kucheza mpira huo, matatizo ya mgongo na shinikizo la damu yaliyokuwa yanamkabili, amepona. Mpira wa kikapu huhesabiwa kuwa mchezo wa mijini katika nchi nyingi za Afrika, haswa Rwanda, na sio mchezo wa wanawake wa maeneo ya vijijini. Lakini vikundi vya wanawake mashariki mwa Rwanda vinaibadili hadithi hii. - - #bbcswahili #michezo #tanzaniatiktok #kenyantiktok #foryou #fyyyyyyyyyyyyyyyy #afya #wanawake #wakongwe #Rwanda #basketball🏀 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw