Skip to main content
Skip to main content

Mpira wa Kombe la Dunia wapeperuka mitaani

  • | BBC Swahili
    5,505 views
    Duration: 17s
    Tazama tukio hili lililotokea katika mji mkuu wa El Salvador, San Salvador, baada ya mpira mkubwa wa Kombe la Dunia uliokuwa ukitumika kwa matangazo kupeperushwa na upepo mkali kutoka sehemu yake ya kufungwa na kuingia barabarani. Tukio hilo lilitokea wakati mvua kubwa na upepo mkali vilipoikumba San Salvador, hali iliyosababisha mafuriko ya ghafla katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo. El Salvador ilishindwa kufuzu kushiriki Kombe la Dunia la FIFA 2026 baada ya kupoteza mechi sita mfululizo katika hatua za kufuzu zilizofanyika mwaka jana. #bbcswahili #elsalvador #Kombeladunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw