Skip to main content
Skip to main content

‘Mr Speaker’ na madai ya GenZ Kenya

  • | BBC Swahili
    13,394 views
    Duration: 1:27
    Mmoja wa sura zinazotambulika zaidi katika maandamano ya Gen Z nchini Kenya Anayejulikana mtandaoni kama "Mr Speaker” sasa anazungumza hadharani kuhusu Gen Z. Anatafakari kuhusu madai yaliyowafanya maelfu ya vijana kuingia barabarani na iwapo serikali imechukua hatua za kutosha kuyashughulikia. - - #bbcswahili #Maandamano #kenya🇰🇪 #GenZ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw