- 411 viewsDuration: 4:01Wakulima wadogo nchini watajwa kuwa kitovu cha kuimarisha utoshelevu wa chakula na kuongeza uzalishaji wa mazao bora. Haya yajiri baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa Greenlinks huko Kajiado utakaogharimu shilingi milioni 129, ukilenga kuwawezesha wakulima kutumia mbinu salama za kilimo na kuwafungulia masoko ya ndani na nje ya nchi.