Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa uhamasisho na matibabu ya saratani wazinduliwa Kisumu

  • | KBC Video
    59 views
    Duration: 1:39
    Mradi jumuishi wa kushughulikia saratani miongoni mwa wanawake umezinduliwa kwenye kaunti ya Kisumu ukilenga kushughulikia tatizo la maradhi hayo kwenye magatuzi yaliyoko eneo la Ziwa Viktoria. Mradi huo ambao unatekelezwa na hospitali ya Agakhan na washirika wa kimaendeleo unadhamiriwa kupunguza vifo vya watoto na kukithiri kwa saratani ya mlango wa uzazi na titi miongoni mwa akina mama katika sehemu hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive