- 154 viewsDuration: 4:03Wakulima katika wadi ya bukhayo kaskazini kaunti ya busia wanalalamikia kukwama kwa mradi wa unyunyuziji maji wa kilimo cha mboga na matunda ulioanzishwa na serikali ya kaunti hiyo miezi sita iliyopita. Ni mradi wa idara ya maji uliofadhiliwa na benki ya dunia katika kijiji cha benga ukinuia kuwafaidi zaidi ya wakulima 120 waliopewa robo ekari ya shamba kila mmoja.