Skip to main content
Skip to main content

Mruka parachutmi agonganana ndege angani

  • | BBC Swahili
    8,110 views
    Duration: 31s
    Video zilizochapishwa na mruka parachuti zinaonyesha tukio ambapo ndege iligongana na mwavuli wake wa parachuti juu ya Milima ya Alps ya Austria na kumlazimu kufungua parachuti ya akiba ili kutua kwa dharura. Mruka parachuti huyo Sabrina, alisema hakuumia isipokuwa alipata “michubuko kidogo" Polisi wa Salzburg rubani wa ndege alitoa maelezo kuwa alishindwa kugeuka kwa wakati kuepuka mgongano huo na alifanikiwa kutua salama bila majeraha katika uwanja wa ndege ulio karibu. #bbcswahili #parachuti #ajaliangani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw