Msafara unaendelea kwa siku ya pili kaunti ya Nairobi

  • | Citizen TV
    224 views

    Msafara wa M-PESA sokoni umeingia siku yake ya pili jijini Nairobi, hii leo wakazi wa Kambu na Ruiru wakipata fursa ya uhondo wa msafara.