Msafara wa KRA kwa ushirikiano na KBC watua Nyanza

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya walipaji ushuru elfu-10 kufikia sasa wametuma maombi ya kuomba radhi kutokana na adhabu na mrundiko wa riba za kuanzia mwezi Disemba mwaka 2024. Halmashauri ya ukusanyaji ushuru hapa chini (KRA) kufikia jana, iliondoa msamaha wa takriban shilingi bilioni 170 kwenye ofa inayoendelea ya msamaha kwa walipaji ushuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive