Msafara wa M-Pesa Sokoni

  • | Citizen TV
    72 views

    Msafara wa MPESA Sokoni umeingia mji wa mpakani wa busia kwa sherehe zinazoendelea kote nchini kuadhimisha miaka 18 ya shughuli za MPESA nchini...Watangazaji wa Ramogi fm na Radio Citizen, vituo vinavyomilikiwa na kampuni ya royal media services wamebeba ujumbe wa MPESA Sokoni kwa wateja wa Safaricom. Msafara wa Magharibi na Nyanza unatamatika Jumamosi kwa tamasha la MPESA Sokoni Festival Katika uga wa Jomo Kenyatta jijini Kisumu.