Msafara wa M-Pesa Sokoni umekita lambi kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    256 views

    Msafara wa Mpesa Sokoni umekita kambi katika Kaunti ya Nandi kwa siku ya pili mfululizo, maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za M-PESA yakiendelea kuwafikia wateja wa Safaricom mashinani. Safaricom kwa ushirikiano na kampuni ya Royal Media Services imeandaa sherehe hii maalum, ambayo imepokelewa kwa shangwe na wakazi wa Bonde la Ufa.