18 Dec 2025 1:27 pm | Citizen TV 2,196 views Duration: 1:56 Msaidisi wa Rais Farouk Kibet amewarai wakenya kuwapuuza viongozi wa upinzani wanaoeneza siasa za kuwagawanya kwa msingi ya ukabila.