Msako wa maziwa bandia waendelezwa Eastleigh

  • | KBC Video
    101 views

    Watu kadhaa wamejeruhiwa leo wakati wa msako uliowalenga wafanyibiashara wanauza maziwa ya unga na bidhaa nyingine ghushi katika mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi. Wafanyibiashara katika mtaa huo wa Eastleigh hata hivyo walishtumu msako huo wakisema haufai na ulikuwa ukiuka haki zao kwa vile walikuwa na stakabadhi zinazohitajika kuendesha biashara hizo. Msako huo ulitatiza na kulemaza biashara katika eneo hilo huku polisi wakilazimika kutumia vitoza machozi kwa wakati mmoja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive