Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa mkuu wa kifo cha Daktari Job Obwaka afikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    930 views
    Mshukiwa aliyekamatwa kufuatia kifo cha Daktari Job Obwaka amefikishwa katika mahakama kuu ya Kibra. Mshukiwa huyo Beatrice Wangari tayari amefikishwa mahakamani huku Upande wa mashtaka ukitarajiwa kuomba muda zaidi kumzuilia. Marehemu Obwaka aliaga dunia siku ya ijumaa huko Kitengela.