Mshukiwa wa mauaji katika hospitali ya Kenyatta akamatwa

  • | KBC Video
    1,072 views

    Hospitali ya kitaifa ya Kenyatta sasa inasema Kennedy Kalombotele, mshukiwa mkuu wa mauaji ya Edward Maingi alikuwa anazuiliwa katika hospitali hiyo. Kulingana na usimamizi wa hospitali hiyo, licha ya kumruhusu Kalombotole kwenda nyumbani mwezi Januari mwaka huu, hakuwa na pa kwenda na hivyo kulazimika kusalia hospitalini humo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News